ocr: Bonyeza penye rangi na usikilize kwa makini. Bonyeza picha ndogo au kubwa usikilize tena. Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawasawa. Bonyeza "kipanya' ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.